Hii hapa ngoma ya Suma Mnazalet "KIMEO" aliyofanya kwa Zest.
Ngoma inafanana kabisa mahadhi na ngoma ya Mesen Selekta "Kanya Boya" na ile "Nimempata" ya Pam Gal akimshirikisha Mesen.
Inasemekana Suma Mnazalet alifanya ngoma hiyo baada ya kukosa maelewano na Mesen Selekta ambae ndo alikuwa anamtengenezea nyimbo hapo awali.
Audio: Suma Mnazalet - Kimeo
sábado, abril 18
0 comentários